Uhalali wa JK kutuongoza ni huu hapa............. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhalali wa JK kutuongoza ni huu hapa.............

Discussion in 'Jamii Photos' started by Rutashubanyuma, Jan 24, 2011.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 81,544
  Likes Received: 43,302
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi Debora Kafuku zawadi maalum kwa kuwa amefanya vizuri kwa upande wa wanawake katika Chuo Cha Jeshi Monduli mkoani Arusha, wakati wa sherehe za kutoa Kamisheni kwa wahitimu.(Picha na John Lukuwi).
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 81,544
  Likes Received: 43,302
  Trophy Points: 280
  Tangia ile siku yule afande wa ile kampuni ya Meremeta alipotutishia usalama wetu ndiyo nimefahamu ya kuwa kumbe uhalali wa JK kutuongoza ni vitisho kutoka majeshini na polisi.................................
   
 3. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 5,909
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  sijaelewa
   
Loading...