Babaubaya
Member
- Oct 21, 2014
- 42
- 6
Hivi wadau,inakuaje mfanyakazi wa serikali na mashirika yake anaelipa kodi ya14% @ mwezi kupitia mshahara wake,kisha analipa vat kupitiia bidhaa sawa na weingine,leo alazimishwe kulipa tena kati ya 10000 na 15000 eti kwa ajili ya ujenzi wa maabara za sekondari,kwa serikali ishindwe kujenga na badala yake mnawatupia wakulima na wafanyazi wa kada ya chini
je ni halali
je ni halali