Sisi huku kwetu tulishahakikiwa ila nishangazwa na kauli za Jana kuna workmate aliitwa hajakamilisha yeti vyake,kaambiwa kuwa afanye jitihada akachukue cheti (chuoni) kwani kuna uhakiki wa Mara ya 3 , hivi jamani Mara 3 tunahakiki nini sasa? Haya mambo yanakera sana, tumechoka sasa kuhakikiwa na huu mwaka utaisha bila watu kupanda vyeo wala kupata nyongeza za mishahara kwa maigizo ya uhakiki yasiyo na mwisho