Uhakiki wafanyakazi unaisha lini?

Firigisi

Member
Feb 13, 2009
91
33
Kwanza napongeza juhudi za awamu mpya za kuondosha wafanyakazi hewa, ila naomba serikali ijibu kwa uhakika , ZOEZI LA UHAKIKI WA WATUMISHI UNAISHA rasmi lini?
 
Sidhani kama Waziri mwenye dhamana ya utumishi anaweza kujibu. Hilo linaanza kutuambia kitu fulani.
 
Zoezi litaisha 2020 then litaendelea hadi 2025 kama mdogo ake lubuva atafuata nyayo za kaka ake
 
Back
Top Bottom