Uhakiki wafanyakazi unaisha lini?

Uhakiki wafanyakazi unaisha lini?

Firigisi

Member
Joined
Feb 13, 2009
Posts
91
Reaction score
33
Kwanza napongeza juhudi za awamu mpya za kuondosha wafanyakazi hewa, ila naomba serikali ijibu kwa uhakika , ZOEZI LA UHAKIKI WA WATUMISHI UNAISHA rasmi lini?
 
Kwanza napongeza juhudi za awamu mpya za kuondosha wafanyakazi hewa, ila naomba serikali ijibu kwa uhakika , ZOEZI LA UHAKIKI WA WATUMISHI UNAISHA rasmi lini?
ni zoezi endelevu.....
 
Ndoo bado uhakiki mwingine mpya unaanza mwezi march 2017, usirudie kosa 2020
 
Kwanza napongeza juhudi za awamu mpya za kuondosha wafanyakazi hewa, ila naomba serikali ijibu kwa uhakika , ZOEZI LA UHAKIKI WA WATUMISHI UNAISHA rasmi lini?
Wewe wamesha kuhakiki,
 
Tutaendelea hadi pale vyazo vyetu vya habari vitakapo tangaza. Mpuuze habari zozote ambazo sio rasmi
 
Sidhani kama Waziri mwenye dhamana ya utumishi anaweza kujibu. Hilo linaanza kutuambia kitu fulani.
 
Zoezi litaisha 2020 then litaendelea hadi 2025 kama mdogo ake lubuva atafuata nyayo za kaka ake
 
Back
Top Bottom