Uhakiki wa VYeTi versus Ufojaji wa VYeTi

Travelogue_tz

JF-Expert Member
Sep 28, 2010
855
1,224
Maswali muhimu kwake : Je ni kweli iliwahi kutokea katika historia ya maisha yake kuitwa Daudi Albert Bashite?
Je mzazi wake /ukoo wake kuna jina la Bashite??
Je, Ni kweli Daudi Albert Bashite amezaliwa, na kusoma kijiji cha Koromije??
Je, Daudi Albert Bashite alisoma Pamba Sekondari na kupata Div 0??
Je kuna historia yeyote inayoonesha Bashite aliwahi ku reseat mtihani na kupata vigezo vya kuendelea na certificate?
Je Daudi Albert Bashite wa Pamba kwa sura ndio Paul C. Makonda /Myenge wa Chuo cha Uvuvi,.???
 
Mwaka huyu bwana mji utakuwa mchungu maana kajijengea umaarufu kwa muda mfupi.
Ama kiki ni njia ya kutokea yaani leo akitoa movie atauza hatari atumie fursa hiyo.
 
Back
Top Bottom