Wao wanadeal na namba ya mtihani tyuuu...inaingizwa kwenye system kama kuna mwingine yuko idara nyingine kwa cheti kilekile ngoja inaripuka......inaoneshaa mbona huyu huyu mwenye index no hii yupo idara Fulani..........vipi weye wamekuambia chako ni copy au unawashangaa hao wanaosema wamepeleka vyeti feki mkuu hapo cjakusoma hapo!!
Yan kuna baadhi wanakamatwa kuna maswali unaulizwa kuhusu shule uliyosoma ukijiumauma tu imekula kwako
Rafiki ako mtumishi, afu anakuja kukuuliza wewe mwanafunzi???Kuna Rafiki angu wa karibu sana ndiye anayetaka kujua zaidi buti hajui lolote kuhusu hili
Hata si mimi mkuu ila kuna rafiki angu hapa kaniulizia