Uhakiki awamu ya pili Mei 10

Uhakiki awamu ya pili Mei 10

Sorry mkuu hatuwezi kuweka hiyo orodha kwa sababu ina majina ya watu wa majeshi.
Kwa nini orodha ya wenye vyeti vinavyochangiwa hawajaiweka wazi?Iwapo mtu anatumia Cheti chako bila wewe kujua utaanzaje kujitetea ili wasikusimamishie mshahara?Kwa nini hawa watu wa utumishi wanapenda ubabaishaji sana?Hivi wao wamekaguliwa vyeti vyao?Maana wanafanya mambo bila logic wakati yanaathiri sana maisha ya watu.
Wekeni orodha hapa ya wanaoshea vyeti,acheni ubabaishaji
 
Veta walihakikiwa lakin chaajabu waliobainka n
Wachache sana wakat wapo wengi wanavyeti feki na wengine hawakuwasilisha kabisaa katka ukaguz,sasa sijui wakaguz walihongwa hawakupeleka izo data,wapo wengi tu watumishi wa Veta wanafaamika hawana vyet ila hawapo kwenye list
 
Tuwe tunasoma taarifa vizuri.

May, 10 Sio uhakiki mpya unaanza bali majina ya watumishi wenye vyeti feki kutoka katika wizara za Serikali yatatangazwa. Haya yaliyotangazwa awali yalihusu, Mashirika na Taasisi za Serikali na Halmashauri.

Kwa hiyo sio UHAKIKI MPYA
Duu kumbe ngoma bado kabisa!,..
 
Haukuelewa vizuri vizuri ni kwamba mpaka kufikia tarehe 10 Mei uhakiki utakuwa umekamilika kwa wizara zilizosalia
Mimi sijasoma gazeti zima bali nimeleta hapa kilichoandikwa katika ukurasa wa mbele wa gazeti kama nilivyoona kwa MillardAyo.
.
 
Mimi nadhani aliyeleta hii thread hajaelewa vizuri alichokieleza Katibu Mkuu Utumishi soma vizuri hiyo habari upate taarifa sahihi
 
Tuwe tunasoma taarifa vizuri.

May, 10 Sio uhakiki mpya unaanza bali majina ya watumishi wenye vyeti feki kutoka katika wizara za Serikali yatatangazwa. Haya
yaliyotangazwa awali yalihusu, Mashirika na Taasisi za Serikali na Halmashauri.

Kwa hiyo sio UHAKIKI MPYA

Excellent wewe ndio umeelewa haswa achana na mapoyoyo arejee hotuba ya Kairuki tarehe 28.4.2017 ukumbi wa Chimwaga Dodoma
 
Wewe mwenyewe peleka original certificate tu ndio ushahidi namba moja na ndio necta wanataka, hivyo anaetumia chako hatakau na original,
Original viliibwa. Na aliyeiba akamuuzia MTU akaombea Kazi.
Wakitoa majina ukabaini jina lako lipo unayo haki ya kwenda police na necta.
Huyo mwizi wako atajulikana.
 
Kwa nini orodha ya wenye vyeti vinavyochangiwa hawajaiweka wazi?Iwapo mtu anatumia Cheti chako bila wewe kujua utaanzaje kujitetea ili wasikusimamishie mshahara?Kwa nini hawa watu wa utumishi wanapenda ubabaishaji sana?Hivi wao wamekaguliwa vyeti vyao?Maana wanafanya mambo bila logic wakati yanaathiri sana maisha ya watu.
Wekeni orodha hapa ya wanaoshea vyeti,acheni ubabaishaji
Kwani huyo anaye kuja kutumia cheti chako anakuwa kakitoa wapi?
 
Original viliibwa. Na aliyeiba akamuuzia MTU akaombea Kazi.
Wakitoa majina ukabaini jina lako lipo unayo haki ya kwenda police na necta.
Huyo mwizi wako atajulikana.

Inawezekana lakini uwe una ushahidi wa kina kweli kweli maana kuna watu

wameshapigiwa simu kuulizwa kama unamfahamu fulani? Ni nani yako?
yuko wapi?
Wewe ulisoma shule gani?
Ulimaliza mwaka gani?
Je yeye alimaliza mwaka
gani shule?. Na mengine mengi sana unaweza kutoka mbio

Sasa kuwa muangalifu sana kama ni kweli haya bana
 
Kwani huyo anaye kuja kutumia cheti chako anakuwa kakitoa wapi?
Hivi wewe unadhani ukiomba kazi mf.wizara ya afya unapeleka Cheti ama photocopy?Sasa kama ni photocopy mbona ni rahisi maana kila unapofanya application ya kazi unapeleka photocopy ya Cheti na huwa havirudishwi,na hata uhakiki huo walikuwa wanaomba hata namba ya Cheti tu iwapo original huna,mtu anashindwaje kuipata hiyo photocopy?
 
Afadhali umemjibu maana uelewa wake umepitia pembeni
Anatatizo la kutokuwa na cheti msameheni tu, Alafu cha ajabu wengi wao waliokutwa na veti feki ndiyo waliokuwa na majivuno kazini acha waende tu kwa kweli!
 
Anatatizo la kutokuwa na cheti msameheni tu, Alafu cha ajabu wengi wao waliokutwa na veti feki ndiyo waliokuwa na majivuno kazini acha waende tu kwa kweli!
Anatatizo la kutokuwa na cheti msameheni tu, Alafu cha ajabu wengi wao waliokutwa na veti feki ndiyo waliokuwa na majivuno kazini
acha waende tu kwa kweli!

Wanafanya defence mechanism lakini hawakai kimya
 
Back
Top Bottom