Uhaini wa Selcom dhidi ya uchumi wa nchi yetu

Uhaini wa Selcom dhidi ya uchumi wa nchi yetu

Paul Mchumi

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
1,040
Reaction score
1,273
Tanesco tumeambiwa na TRA kuwa Selcom amegushi nyaraka na kukiuka taratibu za kulipa kodi hvyo kimsingi amekuwa akiisababishia TRA na Serikali hasara kubwa. Na hili swala Mkurugenz wetu mkuu alilieza vema pamoja na Mh Waziri wetu...

Sote tunafaham kugushi nyaraka za serikali ni kosa kubwa kisheria. Kama shirika lazima tutimize wajibu wetu kwa kuchukua hatua na Jamuhuri ni lazima ichukue hatua stahiki. Napenda kuwahakikishia wananchi na wateja wote wa shirika kuwa huduma imesharudi kwenye hali yake kwan sasa tumeshaziunganisha na zimeanza kutoa huduma za luku kupitia Mpesa, Airtel Money na Tgo pesa. Halikadhalika katika vituo vyote vyetu vya Tanesco nchi nzima na kwa sasa tunavifungua siku zote mpaka Jumapili pia.

Tutaendelea kusimamia sheria na taratibu katika kutoa huduma zetu kwa manufaa ya wananchi

ASANTE
 
BAK hebu njoo na huku tafadhali kumbe selcom alikua anakula mpunga wa bure. Je ilikuaje hao TRA wakamuongezea mwezi mmoja mhalifu je Mwigulu Nchemba anafamu kama kuna mhusika katika taasisi yake amefanya upuuzi wa kumuongezea mhalifu mwezi mmoja ili aendelee kupiga alafu wakati huo huo wanawabia Tanesco kuwa jamaa kapiga
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
aisee hapo nilazima kuna mhindi. yale yale ya vodacom na shivacom alafu inabaki kuwa stori bila kuchukuliwa hatua.
 
Nchi Hi ni zaidi ya shamba la bibi
 
Tanesco tumeambiwa na TRA kuwa Selcom amegushi nyaraka na kukiuka taratibu za kulipa kodi hvyo kimsingi amekuwa akiisababishia TRA na Serikali hasara kubwa. Na hili swala Mkurugenz wetu mkuu alilieza vema pamoja na Mh Waziri wetu...
Sote tunafaham kugushi nyaraka za serikali ni kosa kubwa kisheria. Kama shirika lazima tutimize wajibu wetu kwa kuchukua hatua na Jamuhuri mi lazma ichukue hatua stahiki. Napenda kuwahakikishia wananchi na wateja wote wa shirika kuwa huduma imesharudi kwenye hali yake kwan sasa tumeshaziunganisha na zimeanza kutoa huduma za luku kupitia Mpesa, Airtel Money na Tgo pesa. Halikadhalika katika vituo vyote vyetu vya tanesco nchi nzima na kwa sasa tunavifungua siku zote mpaka jumapili pia.
Tutaendelea kusimamia sheria na taratibu katika kutoa huduma zetu kwa manufaa ya wananchi ASANTE

Na sisi ambao tumenunua umeme trh 30 mwezi uliopita na hatujapata umeme mpaka ss mnatusaidiaje?
 
Mkuu Shark huu wizi uliofanywa na hawa wahindi hakuna atakayepandishwa kizimbani kama ilivyo kawaida ya nchi yetu, na huyu Waziri mzigo ambaye ameliingizia Taifa hasara ya mabilioni ya shilingi hatawajibishwa kwenye nchi ambazo maslahi ya nchi na Wananchi yanapewa kipaumbele huyu angefukuzwa kazi mara moja.

BAK hebu njoo na huku tafadhali kumbe selcom alikua anakula mpunga wa bure. Je ilikuaje hao TRA wakamuongezea mwezi mmoja mhalifu je Mwigulu Nchemba anafamu kama kuna mhusika katika taasisi yake amefanya upuuzi wa kumuongezea mhalifu mwezi mmoja ili aendelee kupiga alafu wakati huo huo wanawabia Tanesco kuwa jamaa kapiga
 
Last edited by a moderator:
wale wahindi wanatafta public sympathy hawana lolote
 
Back
Top Bottom