big bang, universe ikajengeka, solar system, dunia.
Duniani sasa kwenye maji seli moja ikatengenezeka, ika mutate kua seli nyingi. Mutations and mutations ndio tukawa na uhai huu
Singularity, BOOM!
big bang, universe ikajengeka, solar system, dunia.
Duniani sasa kwenye maji seli moja ikatengenezeka, ika mutate kua seli nyingi. Mutations and mutations ndio tukawa na uhai huu
... kiufupi!
Kwa mtizamo wangu lilianza yai. Sayansi inaonesha kwamba hata haya mayai ya kuku yaliyorutubishwa yakiwekwa kwenye sehemu yenye joto linalohitajika (37 hadi 38 celsius), mfano kwenye pumba za mpunga au mahindi, linajiangua ndani ya kipindi cha wiki tatu....
Mmoja alisema, "nadharia ya uwepo wa Mungu ilikuja baada ya binadamu kushindwa kujibu baadhi ya maswali, likiwemo uhai ulianzaje"!
๐๐๐๐๐