UHABA WA MAFUTA (petroleum) ARUSHA

MWANAWAVITTO

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
258
Reaction score
220
Uhaba wa mafuta(gasoline) Arusha nimetembelea vituo vinne vinavyotoa huduma za mafuta ya mitambo(petroleum stations) zilizoko barabara kuu ya Moshi-Nairobi (NJAKE, GAPCO, BP na MOUNT MERU) na kukutana na foleni kubwa za magari yakiwa yamepaki au kuzimwa kabisa kutokana na kukosekana kwa mafuta.
 
Pumbafu Yaani hii ndo breaking news
 
waende Panone Engarenarok Branch kuna oil tank inashusha mafuta
 
BP imebadili jina, sasa hivi inaitwa PUMA

Jana nimeweka mafuta pale Mt. Meru katikati ya mianzini na morovian, sijui wamechakachua na nini. Gari ndogo lakini inatoa mlio wa trekta! Na mbaya zaidi niliweka full tank ili kuepuka usumbufu wa upungufu wa mafuta. Period!
 
pole mkuu, hii ndiyo Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…