ha ucjal mkuuZinapatikana za kutisha huko? Unaweza kunitumia kwa Abood?
ha ucjal mkuuZinapatikana za kutisha huko? Unaweza kunitumia kwa Abood?
Tbl kaza uziAiseh! Kwel dunia uwanja wa fujo! Zaman ukiagiza castle light,safar, na serengeti unaonekana masikin! Henken ilikuwa bia ya midle level@ now balimi imekuwa almasi!
Balimi mkomboz wa wanyonge
Hata mlugulu amekuwa balimi, hongera TBL jongera unyanyembeMie nadhani Sasa tuiombe serikali itangaze rasmi Balimi kama kinywaji cha Taifa maana Sasa kinaunganisha Taifa toka kanda ya ziwa mpk kaskazini pwani kusini na katikati mwa nchi....