libeva
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 4,474
- 3,631
Hiyo ni EagleBalimi bei rahisi sana kuna mahali nimezikuta chupa moja sh 1,000
Hiyo ni EagleBalimi bei rahisi sana kuna mahali nimezikuta chupa moja sh 1,000
Vidude gan mkuu!Kuna tudude wameleta sahizi ,badala wa konyagi hahahaaa Tsh 1000/= ni balaa!!
Umesahau na savanahAiseh! Kwel dunia uwanja wa fujo! Zaman ukiagiza castle light,safar, na serengeti unaonekana masikin! Henken ilikuwa bia ya midle level@ now balimi imekuwa almasi!
Balimi mkomboz wa wanyonge
Hatuna jina?Kuna tudude wameleta sahizi ,badala wa konyagi hahahaaa Tsh 1000/= ni balaa!!
Tuma km 20000hv uone maajabu ya dunia yaan ni Asubuhi tu.Zinapatikana za kutisha huko? Unaweza kunitumia kwa Abood?
Bia yetu kanda yetuTafadhalil tafadhali Morogoro kuna uhaba wa bia pendwa ya balami,kwa heshima na taadhima tunaomba haraka sana mtusambazie bia yetu pendwa kwani kwa jinsi mkuu alivyobana tutaua kwa njaa familia zetu ikiwa bia pendwa zitaendelea kuadimika.