Uhaba wa Balimi Morogoro

Uhaba wa Balimi Morogoro

chanaga

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
344
Reaction score
190
Tafadhalil tafadhali Morogoro kuna uhaba wa bia pendwa ya balami,kwa heshima na taadhima tunaomba haraka sana mtusambazie bia yetu pendwa kwani kwa jinsi mkuu alivyobana tutaua kwa njaa familia zetu ikiwa bia pendwa zitaendelea kuadimika.
 
Aiseh! Kwel dunia uwanja wa fujo! Zaman ukiagiza castle light,safar, na serengeti unaonekana masikin! Henken ilikuwa bia ya midle level@ now balimi imekuwa almasi!
Balimi mkomboz wa wanyonge
 
Kuna tudude wameleta sahizi ,badala wa konyagi hahahaaa Tsh 1000/= ni balaa!!
 
Balimi bei rahisi sana kuna mahali nimezikuta chupa moja sh 1,000
 
Aiseh! Kwel dunia uwanja wa fujo! Zaman ukiagiza castle light,safar, na serengeti unaonekana masikin! Henken ilikuwa bia ya midle level@ now balimi imekuwa almasi!
Balimi mkomboz wa wanyonge
Hapo Magufuli ndio kacheza tutakunywa mpaka bia ya jero.
 
Tafadhalil tafadhali Morogoro kuna uhaba wa bia pendwa ya balami,kwa heshima na taadhima tunaomba haraka sana mtusambazie bia yetu pendwa kwani kwa jinsi mkuu alivyobana tutaua kwa njaa familia zetu ikiwa bia pendwa zitaendelea kuadimika.
Hata Dar zimeadimika
 
Back
Top Bottom