shelumwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 516
- 189
Kwenye hiyo elnet ndo maana nikawaambia msome maelexo kwanza maana mkituma email zenu. Kwa personal email kama
Yahoo
Gmail
Ymail
Hotmail
Na nyinginezo alafu watu wanajiita ni kampuni msitume maombi maana ni matapeli wanatumia njia hizo kupata taarifa zenu muhimu ikiwemo namba za simu pamoja na background yako yote kwa hiyo inakuwa rahisi hao watu kupata mawasiliano yako yote na kuwa rahisi wao kukutapeli kwa kukuelezea maneno matamu yenye kuonyesha wanakujua nje ndani tangia primary mpaka elimu yako ya mwisho bila wewe binafsi kuelewa watu hao ni wapi taarifa wamepata kumbe uliwapa wewe mwenyewe kwa kuwatumia wasifi wako yaan CV
KWA HIYO TUWE MAKINI MATAPELI NI WENGI PESA HAKUNA MTAANI WATU WANATUMIA MBINU NYINGI IKIWEPO HII YA KUTAFUTA AJIRA KAMA FURSA KWAO KUKUTAPELI TENA WANAKUSHAWISHI UTOE 10,000 eti UTAPATA 600,000 kwa mwezi yaani ni upuuzi mtupu
FUNGUA MACHO USIKURUPUKE TUKUTA MAOMBI HASA CV BILA KUSOMA MAELEZO NA PIA KUPITIA KWENYE WEBSITE HUSIKA KUJUA KAMA KWELI HIZO NAFASI WALIZOTANGAZA ZIPO KWELI AU LAAHA
KUCHUA TAHADHARI