#COVID19 Ugumu wa zoezi la kuchanja unatokana na unafiki wa viongozi wenyewe na halitafanikiwa

wazagamba nkoko

JF-Expert Member
Nov 23, 2021
392
998
Zoezi la chanjo limekosa mwitikio kutokana na viongozi wanaolisimamia na kulipigia kampeni zoezi hilo kuonekana ni wanafiki wasio kuwa na misimamo,na hii ni kuanzia kwa Rais Samia mwenyewe.

Kauli walzozitoa kabla ya hayati Magufuli kufariki na walizozitoa baada ya hayati Magufuli kufariki ni kitanzi chao.

Wananchi bado wanakumbuka jinsi hayati Magufuli alivyowavusha katika janga hili la uviko 19.

Kitu kingine ni ukweli uliodhahiri, kwamba ukichanjwa uwezekano wa kuambukizwa ni mkubwa, pia kuibuka kwa kirusi kipya kila uchao.

Kadhalika Wananchi wanaamini hizi chanjo ni za majaribio na hawako tayari kufanyiwa majaribio.

Waziri wa afya anatakiwa ajiudhuru chanjo imemuumbua
 
Zoezi la chanjo limekosa mwitikio kutokana na viongozi wanaolisimamia na kulipigia kampeni zoezi hilo kuonekana ni wanafiki wasio kuwa na misimamo,na hii ni kuanzia kwa Rais Samia mwenyewe.

Kauli walzozitoa kabla ya hayati Magufuli kufariki na walizozitoa baada ya hayati Magufuli kufariki ni kitanzi chao.

Wananchi bado wanakumbuka jinsi hayati Magufuli alivyowavusha katika janga hili la uviko 19

Kitu kingine ni ukweli uliodhahiri, kwamba ukichanjwa uwezekano wa kuambukizwa ni mkubwa,
pia kuibuka kwa kirusi kipya kila uchao .

Kadhalika Wananchi wanaamini hizi chanjo ni za majaribio na hawako tayari kufanyiwa majaribio.

Waziri wa afya anatakiwa ajiudhuru chanjo imemuumbua
Nimemsikia leo waziri wa afya akitoa tamko kwamba, waajiriwa wenye mamlaka Serikalini kama hawajachanja... waachie ngazi!. Nimejiuliza sana, nikaishia kupata kizungu zugu. Mimi nadhani Serikali ingeweka kwenye maandishi kuwa asiyechanja aache kazi...Ingependeza zaidi. :oops:
🤔
 
Back
Top Bottom