1.wizi mali za umma

2.viongozi sio wazalendo wanahujumu nchi

3.ajira

4.serikali legelege isiyojali wananchi wake

5.bei ya bidhaa muhimu kupanda kiholela
Wauzie 'chai' mkuu.mabinti nao kuwa wagumu kutuelewa

Wauzie 'chai' mkuu.
Murefu kuna ubishi hapa naomba umalize leo na samahani kama nitakuudhi muda wote wengi tunakuchukulia kama HE mwenzetu lakini mara kadha kina dada wakiwa na zile kitchenparty zao za ladies only wanaweka jina lako kama SHE mwenzao tusaidie hapo mkuu.

ndio maana nikatanguliza samahani,samahani tena.kaka ninakuheshimu ila kwa leo nimeamka vizur ungenikuta na akili zangu za usiku cjui ila kama aravata yangu kuisoma iinakushinda ila poa mimi ni MWANAUME

1.wizi mali za umma

2.viongozi sio wazalendo wanahujumu nchi

3.ajira

4.serikali legelege isiyojali wananchi wake

5.bei ya bidhaa muhimu kupanda kiholela

hana chai huyo.ndo mana kasema ivo