Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,154
- 13,267
Hyo naona kama tukuyu ile njia ya kwenda lutengano mpaka kule kisondela
Hizo gari ni dili sana. Kuna kipindi wazungu walikua wanazitafuta arusha kwa bei yoyote
hahahaha umenikumbusha gwe ni kweli kabisa mi nilisoma tky ila Lute kama kawa kila week end kufwata mademu,Hyo naona kama tukuyu ile njia ya kwenda lutengano mpaka kule kisondela
Nimekuona na kilemba chako hapo mbele karibu na tairi la akibaharufu umeniona na mimi nimelumbesiwa?