Ugumu wa Maisha: Mwalimu ktk Manispaa ya Temeke ajinyonga

Ugumu wa Maisha: Mwalimu ktk Manispaa ya Temeke ajinyonga

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,493
Reaction score
12,461
Kuna mwalimu wa manispaa ya Temeke amejinyonga, inasemekana moja ya sababu ni kutokana na ugumu wa maisha.

Mwalimu huyo mkazi wa Yombo Buza Temeke jijini Dar es Salaam alienda lodge na kukodi chumba ndipo alipotekeleza kitendo cha kujitoa uhai.

Haikujulikana mara moja mwalimu huyo anafundisha shule gani, hivi sasa maiti iko Muhimbili na anatarajiwa kusafirishwa leo kwenda nyumbani kwao Ugweno wilayani Mwanga kwa ajili ya mazishi.

My take:
Kujitoa uhai ni kosa kisheria na mbele za Mungu kujiua sio suluhisho la ugumu wa maisha/matatizo yanayotukabili.

R.I.P mwalimu.
 
Mtu ana haki ya kujitoa uhai pia akiona inafaa, tumuombee apumzike kwa amani.
 
walimu wengi awakielewi wanalipwa mshahara ila wana kuwa masikini waache tu
 
Nenda mwalimu ukawahi viwanja huko mbinguni kama kila myu alkiamua kujiua eti kisa maisha magumu mbona watabaki wachache
 
ile kauli ya Pombe kuhusiana na madai ya walimu ndiyo imemsababisha ajitoe duniani.
 
Ni Mwl, alafu unasema haujui anafundisha shule gani. Umethibitishaje kwamba yeye in mwalimu. Nadhani kama maiti ingetambuliwa na ndugu/marafik habari hii ingekuwa na mashiko. Au alikuwa na majina ya wapiga kelele mfukoni?
 
Daaa ndio kuosoma number huko tungoje Takwim mpaka 2020 idadi itakuaje hakuna Twishen wala kuuza karanga Hapa kazi tu
 
Back
Top Bottom