Taarifa zilizonifikia ni kwamba ndugu yetu,dadaa yetu 'Valentina' ni mgonjwa hivyo kama wanajamii wa CC na MMU tunaombwa kumkumbuka katika maombi Mungu amrejeshee afya njema.
Mungu akushushie uponyaji Valentina
CC; kiwatengu;shansarie,Bantu lady,chos,Baba V,ladydoctor,excell,uran,sungura1980,miss changa,Jugment
Amesema ni homa imemuanza mida ya mchanaAfu leo nilimuona akisalimiana na mbunge Lema maeneo ya karibu na kwake, nini kimemsibu 'Valentina'?
Get well soon best.
ugua pole 'Valentina' Mungu akuponye mkuu
Afu leo nilimuona akisalimiana na mbunge Lema maeneo ya karibu na kwake, nini kimemsibu 'Valentina'?
Get well soon best.
Tembosa,@Kiwetangu Mwanyasi Bantu lady Ruttashobolwa strong ruler M.E.M.A Judgement charminglady na utafiti nashkur sana kwa sala zenu,kwasasa nimeanza kurecover
Tembosa,@Kiwetangu Mwanyasi Bantu lady Ruttashobolwa strong ruler M.E.M.A Judgement charminglady na utafiti nashkur sana kwa sala zenu,kwasasa nimeanza kurecover
get well soon my sweetyheart.
i love u sana.
maumivu yako maumivu yangu