gubegubekubwa
JF-Expert Member
- Jun 9, 2008
- 639
- 817
Mkuu pole Sana aise mi Nilikuwa na vidonda vya tumbo vikali sana hadi nilifikiri nina cancer ya tumbo, Sasa Kuna dawa nilipewa kutoka Morogoro kwa sh 40 elfu tu nilielekezwa na mzee mmoja hapa yaani sisikii tena maumivu Niko vzr kabisa hii wiki ya pili Niko vzr.Kwa yoyote anayejua dawa ya asili ya vidonda vya tumbo naomba anijuze tafadhari
Asante kiongoziMkuu pole Sana aise mi Nilikuwa na vidonda vya tumbo vikali sana hadi nilifikiri nina cancer ya tumbo, Sasa Kuna dawa nilipewa kutoka Morogoro...
Okay poa, mi nipo Mbezi mwisho Ni PM nikupe location vizuri uje uchukueNikoDar es laam
Asali pia ni dawa unachanganya na kuna Dawa ya mti fulani hivi kwa kweli jina lake silijui ila ipo vizuri sana ,nilienda mkoani nikaenda mwenyewe kuchimba huo mzizi alafu inatwangwa inakuwa kama unga ndio unatumia ukishachanganya na Asali,upo maeneo gani nikupe bure kabisa hii dawa maana nilibakisha baada ya mgonjwa kuona amepona.
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Asante sanPole sana mie nilipona kwa juice ya kabeji 🥬 isiyochujwq mixer na carrot 🥕
Mkuu utujuze nasiMkuu pole Sana aise mi Nilikuwa na vidonda vya tumbo vikali sana hadi nilifikiri nina cancer ya tumbo, Sasa Kuna dawa nilipewa kutoka Morogoro kwa sh 40 elfu tu nilielekezwa na mzee mmoja hapa yaani sisikii tena maumivu Niko vzr kabisa hii wiki ya pili Niko vzr.
Ngoja nisubiri Kama mwezi hivi au miezi miliwili ili nione Kama nimepona kweli au vitarudi tena then nitakwambia ukachukue pia hiyo dawa usije kuta ninepigwa nawewe ukapigwa pia.
Unaitumia kwa mda gani, na dozi yake kutwa ipoje?Pole sana mie nilipona kwa juice ya kabejiisiyochujwq mixer na carrot
Ni follow Instagram bestculture21 nikuonyeshe mmasai umfate akupe imenitibu mimiKwa yoyote anayejua dawa ya asili ya vidonda vya tumbo naomba anijuze tafadhari.
Aya sawaNi follow Instagram bestculture21 nikuonyeshe mmasai umfate akupe imenitibu mimi
Nilitumia kwa siku 7 asubuhi kabla ya chai 1glass ukipata muda na mchana kabla lunch na jion .Unaitumia kwa mda gani, na dozi yake kutwa ipoje?
kabichi iloiva au isiyopikwa?Chakula ni tiba kubwa, chemsha iliki na mdalasini asubuhi weka asali.
Kula kabichi kwa wingi.
Iliyoivakabichi iloiva au isiyopikwa?
asnt sana madame you are in my heart.Iliyoiva
kuhusu mdalasini na iliki na asali ambayo sio ya supermarket nakuunga mkono itapunguza tatizo inategemea na vyakula atakavyo endelea kutumia visiwe na asidi. Organic foods ni suluhisho bofya hapa kuvijua.Chakula ni tiba kubwa, chemsha iliki na mdalasini asubuhi weka asali.
Kula kabichi kwa wingi.
Vipi umepata suruhisho la shida yako?Kama bado tuwasiliane pleaseNdo nimeanzia huko wanasema hawawez kunifanyia op coz ni har ya maumbile tu na hata wakinifanyia itarudi napewa ppi toka mwaka jana mpka nachoka kumeza