Li-nchi hili kama kungekuwa na wapelelezi makini (siyo akina Manumba) kuna vigogo humu nchini wasingeonekana uraiani kwa muda mrefu, au kusafirishwa ahera kwa njia ya kitanzi!
Kansa ya damu kwa matatizo ya uboho....
habari za hivi punde ni kwamba Mwakyembe amefariki dunia.
habari za hivi punde ni kwamba Mwakyembe amefariki dunia.
OMG!!Tell us it's not true!!!
Watanzania tutaelezwaje?wazee wa Mbeya je?
Naona thread za kifo zinafutwa humu labda sio kweli
Yeah kuna mdau katupia hii tetesi hapa jamvini punde naona mods wameitoa!
sasa ninyi mods tunajua ninyi mu wababe...!mnafanya mlitakalo...!mmezifuta zile thread no bad...!walau andikeni kitu fulan for clarifications
royalty? mmmnh, sijashawishika bado!sidhani mkapa angeweza kumuua mwalimu..., lets be fair sometimes.ana madudu mengi sana huyu jamaa lakn kum-assasinate nyerere asingeweza kabisa.., usalama kwa kipindi alichokufa nyerere..., top layer ilijaa cream ya watu waliokua recruited kipindi nyerere rais.., na amini nawaambia they were still loyal to him.., he still had his humble men on top,, isingekua rahisi kitu kama hicho kipangwe bila his men..., nada! isingewezkana! Najua baadhi mtauliza mbna walimuua sokoine kwa directions za kawawa, yes, its true, lakn nyerere was somebody else kwa watu wa usalama..., walimpenda.
Katika mazungumzo yetu leo kuhusu sakata la Vincent Nyerere na Mkapa daktari mmoja rafiki yangu wa Muhimbili amenidokeza kwamba ugonjwa wa ngozi alioupata Dr Harrison Mwakyembe unafanana sana na ule alioupata hayati Mwalimu Julius Nyerere ambao hatimaye ndiyo uliyomuuwa.
Nikaanza kutafakari, jee inawezekana chanzo cha huu ugonjwa wa Dr Mwakyembe ni kile kile cha ugonjwa wa Mwalimu Nyerere? Yaani aliyehusika kumpa Dr Mwakyembe ugonjwa huo ni yule yule aliyempa Mwalimu? Najaribu sana kuunganisha dots
Jamani maendeleo ya huyu mpiganaji yeyote mwenye habari kamili.
90% ni kwelinadhani si vyema kuanza kujadili hisia napropaganda za kidogma ,kwani hakuna ushahidi wa kuthibitisha kama kweli mwakyembe alipewa sumu kwakuwa swala hili bado lina mkanganyiko mkubwa