pangakali 2
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 239
- 221
- Thread starter
- #21
Habari za jion wadau. Naomba nitumie nafasi hii kutoa mrejesho kwa swala la Tonsils kwa watoto wangu. wamefanyiwa opereshen kwa tarehe tofauti na alhamdulillah Mwenyez Mungu ametujaalia zoezi limekwenda vyema na sasa wanaendelea vizuri sana. Wakubwa imani za kiswahili kwamba mtoto ukimpa vitu vya barua anapatwa kifua ndio lililotutesa miaka zaidi ya 6 huku watoto wanateseka kwa maumivu makal kila wanapokula vitu vyenye asili ya ubaridi hizi dawa zingine za kikohozi ilikua kama juice tu haziwasaidii hadi kuchomwa sindano. Hivyo tusisite kuchukua hatua mapema.Nashukuru sana mkuu kwa maelezo yakinifu. Kwa mm mwenye approx 34 haifai kuziondoa kwa opereshen? Maana nilitaka niungane na wanangu ili sote tuondokane na hizi changamoto