Dalili za ugonjwa wa Covid 19 zilizobainika hasa kwa watu weusi

moyafricatz

JF-Expert Member
Nov 27, 2015
2,900
4,865
Amani na Salama Ndugu.

Kamati imejitahidi kudadisi dalili za awali za ugonjwa huu kutoka kwenye machapisho mbalimbali ya kisayansi, vyombo vya habari, simulizi za madaktari, wauguzi, wagonjwa pamoja na wataalam wengine wa masuala ya afya.

Baada ya tathmini ya kina, kamati imegundua uwepo wa utofauti mkubwa kwenye dalili za ugonjwa huu kwenye idadi kubwa ya watu wenye asili ya ki-Africa.

Kadiri ya maelezo ya wataalam ni kwamba idadi kubwa ya kundi hili huwa halipati dalili za waziwazi za ugonjwa huu zikiwemo (kikohozi, joto Kupanda, homa, mafua, koo kuwasha, kikohozi n.k). Hii imeelezwa kuwa ndio sababu kubwa inayosababisha vifo vingi vya watu weusi nchini Marekani.

Kwa mantiki hii kamati imeona ni vyema kuwasilisha dalili ambazo zimeelezwa kuikumba zaidi jamii ya watu weusi;

1. Kupatwa na uchovu ambao kitaalam unaitwa *_Malaise_*. Mwili hujisikia kuchoka hivyo kutamani kupumzika/kujipumzisha

2. Maumivu kwenye vifundo vya mikono na miguu, Kitaalam wanaita *_Pain in an Extremity_*

3. Hali ya kuhisi kuishiwa pumzi kwa mbaali. Kitaalam wanaisema, *_feeling a little bit winded_*. Hii ni hali ya mmoja kutamani kufanya jitihada ya ziada kuvuta hewa kama pale mmoja apopigwa ngumi ya ghafla tumboni au mgongoni.

Dalili hizi huweza kutokea zote kwa pamoja au kwa awamu.

Endapo mmoja ataruhusu mwili wake kupumzika atatoa mwanya kwa virusi hivi kuushambulia mwili kwa haraka sana. Virusi hivi husababisha damu kuvuja ndani ya mwili na kusababisha kuganda wa kwa damu, *_blood clot_* kwenye vifundo, mapafu na kwenye moyo. Na hii imetajwa kuwa ndio sababu kubwa inayosababisha vifo vingi vya jamii ya watu weusi.

USHAURI
Pindi upatapo hali Kati ya hizo tunasisitizwa kuepuka kupumbazwa na miili yetu na kutii kupumzika/kujipumzisha.

Badala yake tunashauriwa kusimama na kuutumikisha mwili kwa kufanya mazoezi ya aina mbalimbali kwani kwa kutokufanya haya huupa mwili muda wa wa kutosha kuruhusu damu kuvuja na kuganda kwenye mirija inayopeleka hewa ya Oxygen kwenye moyo na mapafu.

Hivyo kamati inashauri mambo yafuatayo
1. Mazoezi ya Mara kwa Mara
- Kukimbia,
- kutembea
- kuruka kamba
- Kupanda ngazi badala ya lift/elevator
- kusimama Mara kwa Mara uwapo maeneo ya kazi

2. Kutumia njia za asili kwa kunywa maji ya moto yenye mchanganyiko wa limao na Tangawizi

3. Kusaga vitunguu na kuweka kwenye Kitambaa laini, *_Onion Poultice_* kukanda Kifua.

4. Kujitenga na mikusanyiko ya watu kwa kadiri uwezavyo.

Imetolewa na,
Kamati ya Dharura, MASEA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom