Ugonjwa wa kusikia ladha ya magadi au Chumvi kinywaji

DENAMWE

JF-Expert Member
Dec 29, 2019
806
805
Habari za asubuhi wadau?

Dada yangu anapata tatizo la mate kuwa na ladha ya magadi au chumvi.

Sababu ni nini?

Tiba yake ni nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom