Mivyumba na wengine msiowafahamu Funza. Funza si ugonjwa wa ngozi kwamba unatumia dawa.Hayo mabakamabaka unayoyaona kuna wadudu wanaishi humo.Ni wadudu wadogo sana wanapendelea ngozi ya miguu.Wanatoboa wanaingia wakishaingia wanakua humo ndani ya ngozi hadi ukubwa wa inzi.Kama unafahamu kiini cha jipu basi ndivyo wanavyofanana.Tiba yake ni nini,endapo mtu atawapata?
Chanzo:Uchafu hususani kukojoa ndani ya nyumba kule vijijini wakati wa usiku,watu hawatoki nje kukojoa usiku na wala kutumia beseni,sufuria nk.na mbaya sana nyumba ambazo hazina sakafu ya simenti.Mkojo kwenye udongo na uchafu mwingine ndivyo chanzo kikuu cha mazalia yao.
Daaah nimecheka Hatariiii mkuu unamajibu mepes kinoma
