Ugonjwa wa Funza

Ugonjwa wa Funza

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,195
Kama haujawahi kuona ugonjwa wa Funza pita hapa ushuhudie.
Hivi kwenu wapo?

c02beb0d1d601b2648836fce4f2a6af2.jpg
 
CCM kwa laana za hawa watu wanaoteseka hivi mtakuwa na mengi ya kujibu siku ya Kiyama.
 
Kule kwetu Mikindani tunawaita matekenya! Yaani ikifika saa tatu usiku ndo kazi inaanza ya kukutekenya usiku kucha kudadadeki
 
funza nph umasikini tu,hata bashite wakati anakuja town alikuwa na funza kibao
 
Back
Top Bottom