Mkuu rekebisha hapo juu...mbu anaitwa "aedes aegypti", ila virus anayesabisha ugonjwa ndio anaitwa "zika virus"
Duh nilikuwa sijajua kuwa hawa virus walishakuwepo hata hapa kwetu!! Hili ni janga lingine ambalo linaweza kutukuta kama hatujashtuka mapema. Maana vector wanaosambaza virus hawa wapo hapa wamejaa tele (ndio wale wale aedes wanaosambaza Dengue) na hizi movements za dunia ya sasa its only a matter of time.
Ni kuanza mosquito control mapema kabla supu haijaingia kijusi maana hao watoto wenye microencephaly hawawezi kutibika asilani baada ya kuzaliwa.