Kuna maabara moja hapa Bunju A usalama ina kigorofa 1 cha ushikaji hivi juu maabara chini duka kubwa la madawa
Baada ya kuona hizo dalili za mafua ,kichwa kuuma,mbavu ,mwili kuishiwa nguvu nikaja kupima afya
Majibu;
Malaria ~1;,002
UTI ~100
Tyfhod~240/140
Nimeanza dozi siku ya j,pili
Sikutoka nyumbani mbaka hivi leo ndio kidogo nimepata nafuu
Cha kushangaza,
Nafika mjini Dar
Nakuta rafiki zangu zaidi ya watano (5
Wanaumwa kama mimi
Na ugonjwa unafafa
wao walivyopimwa waliambiwa ni areji tu ,
Mmoja wao alimthibitishia ya kwamba alikura chips k,koo
Zikamdhuru Dr alimpa dawa ya kuharisha tu basi akapona
wale wengine bado kama mimi
Sasa sielewi huu ugonjwa ni kweli areji
au ni majira yamebadilika au kuna nini kimetokea wajuzi mpo.