Muulize mganga mkuu wa serikali si yupo Dar? Huo ugonjwa labda manzese,.mbona huku mbezi kimara hali ya hewa saaafii bariidi kabisa.Asilimia ya watu wengi sana Dar wanaumwa mafua,kichwa dalili kama za homa viungo vya mwili kuuma kwa pamoja kiuno,mgongo macho,mwili kuishiwa nguvu kama yupo mwenye ufahamu wa ili jambo ebu huabalishe ni nini hiki?
Misaada hii....usijekuta meli ilikuja kipanda mbegu na sasa zimeanza kuota soon waanze kuvuna mapesameli si imekuja juzi tu
Hiyo tb mkuu kapime kohoziMbaya zaidi ukienda hospital unaambiwa hakuna malaria, ni mafua tu au aleji. Unachoka kabisa, wakati huo homa unayoipata usiku ni balaa. Unatokwa jasho kitanda kinaloa chepechepe.
Ukiweza piga dozi ya malaria hata kama umeambiwa hauna, huenda imejificha
Umejuaje??Asilimia ya watu wengi sana Dar wanaumwa mafua,kichwa dalili kama za homa viungo vya mwili kuuma kwa pamoja kiuno,mgongo macho,mwili kuishiwa nguvu kama yupo mwenye ufahamu wa ili jambo ebu huabalishe ni nini hiki?
Madaktari siku hizi hata mafua wanasema una uti.nendeni kapime uti ttz hamtumii maji vzr
Chanzo cha habariAsilimia ya watu wengi sana Dar wanaumwa mafua,kichwa dalili kama za homa viungo vya mwili kuuma kwa pamoja kiuno,mgongo macho,mwili kuishiwa nguvu kama yupo mwenye ufahamu wa ili jambo ebu huabalishe ni nini hiki?