Ugonjwa gani huu Dar umeingia

tebweta

JF-Expert Member
Jun 12, 2016
211
157
Asilimia ya watu wengi sana Dar wanaumwa mafua,kichwa dalili kama za homa viungo vya mwili kuuma kwa pamoja kiuno,mgongo macho,mwili kuishiwa nguvu kama yupo mwenye ufahamu wa ili jambo ebu huabalishe ni nini hiki?
 
Mbaya zaidi ukienda hospital unaambiwa hakuna malaria, ni mafua tu au aleji. Unachoka kabisa, wakati huo homa unayoipata usiku ni balaa. Unatokwa jasho kitanda kinaloa chepechepe.

Ukiweza piga dozi ya malaria hata kama umeambiwa hauna, huenda imejificha
 
new ebola in town? mi simooo project za watu hizo.
 
Kuna maabara moja hapa Bunju A usalama ina kigorofa 1 cha ushikaji hivi juu maabara chini duka kubwa la madawa
Baada ya kuona hizo dalili za mafua ,kichwa kuuma,mbavu ,mwili kuishiwa nguvu nikaja kupima afya
Majibu;
Malaria ~1;,002
UTI ~100
Tyfhod~240/140

Nimeanza dozi siku ya j,pili
Sikutoka nyumbani mbaka hivi leo ndio kidogo nimepata nafuu

Cha kushangaza,
Nafika mjini Dar
Nakuta rafiki zangu zaidi ya watano (5
Wanaumwa kama mimi
Na ugonjwa unafafa
wao walivyopimwa waliambiwa ni areji tu ,
Mmoja wao alimthibitishia ya kwamba alikura chips k,koo
Zikamdhuru Dr alimpa dawa ya kuharisha tu basi akapona
wale wengine bado kama mimi

Sasa sielewi huu ugonjwa ni kweli areji
au ni majira yamebadilika au kuna nini kimetokea wajuzi mpo.
 
umefanya research wapi mkuu ? umewafanyia research watu wangapi ?

1.hakuna asiyejua kuiwa dar ipo over population, na moja ya effect za over population ni mlipuko wa magonjwa.
2. dsm kuna viwanda vingi, kwa hyo kuna kitu kinachoitwa air polution, hayo mafua sijui na aleji yataacha kuja ?
3.wakazi wengi wa dar wanaishi pembezoni mwa jiji mfano tegeta, mbezi mwisho, mbagala n.k na wengi wao shughuli zao wanazifanyia city senta, hapa kuna mihangaiko ya kuamka kila asbh kuwahi foleni kwa kufika kazini kwako kwa muda, jioni pia usumbufu wa usafiri plus mifoleni utaacha kuchoka, mgongo viuno na viungo kwa ujumla lazima vipate mushkeli
 
Asilimia ya watu wengi sana Dar wanaumwa mafua,kichwa dalili kama za homa viungo vya mwili kuuma kwa pamoja kiuno,mgongo macho,mwili kuishiwa nguvu kama yupo mwenye ufahamu wa ili jambo ebu huabalishe ni nini hiki?
Muulize mganga mkuu wa serikali si yupo Dar? Huo ugonjwa labda manzese,.mbona huku mbezi kimara hali ya hewa saaafii bariidi kabisa.
 
Achana na hii kitu kabisa! Ilinianza jmosi jana jnne ndio nimepata nafuu na leo niko vizuri zaidi! Nilienda hosp lakini hakuna malaria na vipimo vingine vipo ok. Homa kali! Wakati mwingine unahisi joto na jasho linatoka!
 
Mbaya zaidi ukienda hospital unaambiwa hakuna malaria, ni mafua tu au aleji. Unachoka kabisa, wakati huo homa unayoipata usiku ni balaa. Unatokwa jasho kitanda kinaloa chepechepe.

Ukiweza piga dozi ya malaria hata kama umeambiwa hauna, huenda imejificha
Hiyo tb mkuu kapime kohozi
 
Labda mimi nimewahi kuleta uzi humu
Lakini ninaimani watakuja watu kulalamika humu
Kuhusu research nimeifanya leo
hii kupitia rafiki zangu ambao na wenyewe wameumwa kichwa na mafua na ili tatizo limeanza kati ya Ijumaa,jumamosi na kuendelea mbaka hii leo watu wanaumwa huu ugonjwa mitaani huko.
 
Asilimia ya watu wengi sana Dar wanaumwa mafua,kichwa dalili kama za homa viungo vya mwili kuuma kwa pamoja kiuno,mgongo macho,mwili kuishiwa nguvu kama yupo mwenye ufahamu wa ili jambo ebu huabalishe ni nini hiki?
Umejuaje??
 
Dah mimi ulinipata mwezi uliopita now umeanza tena Mchana ulikuwa mrefu sana yaani kuanzia kiunoni hadi shingoni kifuani tumboni ni maumivu ya ajabu... mwezi ulipita walidai mafua sikutumia anti biotic now nafikiria kujitibu tu mwenyewe maana am sure sina Maralia kama last time Hospital ishakuwa kama wanabahatisha ila maumivu haya kuna mtu aliapata aga khan hospital wakagundua ni Dengue Fever. ndio ipo jijini.Homa yake si ya kitoto ukinywa Pain killer baada ya muda unatokwa na jasho la ajabu sehemu zote zenye maumivu.

Inabidi Serikali ipige fumigation mji mzima
 
Asilimia ya watu wengi sana Dar wanaumwa mafua,kichwa dalili kama za homa viungo vya mwili kuuma kwa pamoja kiuno,mgongo macho,mwili kuishiwa nguvu kama yupo mwenye ufahamu wa ili jambo ebu huabalishe ni nini hiki?
Chanzo cha habari
 
Back
Top Bottom