M mamaherry Member Joined Mar 27, 2013 Posts 11 Reaction score 0 Mar 27, 2013 #1 naombeni kujuzwa wanaume wengi wamekuwa wanavimba shinoni kwa nyuma ..au kutokwa na vipele na makovu nyuma ya shingo hadi wengine kufanyiwa upasuaji..jamani huo ni ugonjwa gani na unasababishwa na nini
naombeni kujuzwa wanaume wengi wamekuwa wanavimba shinoni kwa nyuma ..au kutokwa na vipele na makovu nyuma ya shingo hadi wengine kufanyiwa upasuaji..jamani huo ni ugonjwa gani na unasababishwa na nini
S Spear_ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 1,881 Reaction score 1,491 Mar 28, 2013 #2 Umekosea jukwaa mamaherry peleka hoja yako jukwaa la Afya utapatiwa majibu...... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016