Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,697
Ni wa Mike Sangu na Thea, wasanii wa Bongo movie.
Watu waliokuwa wakijifunika shuka moja, yaani mume na mke in short, wamepigana chini huku Thea akitoa Kali ya mwaka, akidai ktk maisha yake hajawahi kuolewa, na wala hajui Kama kuna mtu anaitwa Mike ktk maisha yake.
Thea anazidi kudai kuwa, ndo kwanza anatafuta mwanaume wa kumuoa.
Nae Mike anadai hiyo ndoa haiwezi tena kurudi, Kwa hiyo naye anatafuta mke wa kuoa.
Duh! hiyo Kali.