thedaydreamer
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 372
- 88
leo asubuhi wakati wa BP ulipigwa wimbo wa ben paul jikubali, kwenye verse ya kwanza kuna maneno yalifichwa, ikabidi niutafute huo wimbo nisikilize vizuri sehemu gani ni offensive, kwa namna kumbukumbu yangu inaniambia sehemu iliyofichwa ni aliposema unaweza kuwa jay dee. Sijui kama kuna mtu mwingine alisikia na pia kama ndo hivyo wameamua je wanayo mamlaka hayo kuedit wimbo wa mtu ilhali hajatukana?
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee kooo kulitaja ni kama curse..."she who must not be named" hahaha duuu..
anaapewa ukuu kama Lord voldmort wa Harry Potter[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee kooo kulitaja ni kama curse..."she who must not be named" hahaha duuu..
wangepatanishwaa tu kama sugu na ruge waziri husika aingilieEt mpka presenter an beef na jidee hakika umaskin n system iliyoandaliwa kama mtaro ukiingia tuu ujue umeishaa
Ndio wajua leo tangu nyimbo imetoka ile sehemu anayotajwa jaydee huscratch iwe audio au video kwenye station yao.leo asubuhi wakati wa BP ulipigwa wimbo wa ben paul jikubali, kwenye verse ya kwanza kuna maneno yalifichwa, ikabidi niutafute huo wimbo nisikilize vizuri sehemu gani ni offensive, kwa namna kumbukumbu yangu inaniambia sehemu iliyofichwa ni aliposema unaweza kuwa jay dee. Sijui kama kuna mtu mwingine alisikia na pia kama ndo hivyo wameamua je wanayo mamlaka hayo kuedit wimbo wa mtu ilhali hajatukana?