Ugomvi kidogo anataka tuachane

Inawezekana hapo hauna mtoto hata mmoja mkuu ndoa za mbali mnapigiwa sana wake zenu ndo maana anakuwa na jeuri
 
Mlete hapa huyo mkeo na yeye tumsikilize. Haiwezekani akasema hivyo bila sababu labda kama ana matatizo ya akili.
 
Lakini kwanini uchagiana na mwana mke kujenga nyumba hapo mtumishi ulibugi sana anakusubili uingize mke mgine ndo sho ianze upya jipange upya ulisha faili hapi ulivyo changiana kujenga nyumba.
 
Mkuu wanawake akili zao zinawatosha wao

Believe me kama unavyosema huyo mwanamke anaweza kurubuniwa kwa kuwa jamaa yuko nae hapo kwa miaka kibao (mfano) anamla tu na mwanamke akipata talaka yake kwa ujinga anaweza kumtimua jamaa hapo

akauza nyumba ili wanunue kwingine jamaa akamzika mazima maana anamuona kama kahaba mmoja tu aliemfukuza mme wake akiwa kamzalia na watoto

Nani atamuamini mwanamke wa hivyo hapo jamaa kama ikitokea hivyo Adai watoto kisheria na atafute mwanamke wa kusaidia kulea nae
 
Hamna ndoa hapo!! Tafuta kazi ya kufanya usilazimshe utaumia zaidi
 
Majanamke masikini ndivyo yalivyo am sorry mkuu hiyo nyumba ndio inamtia ulimbukeni na ujeuri.
 
hapo m namtizamo tofaiti
1.hakuna mwanamke ambaye anataka kuachana na ww alafu akuachie maslai, wote tunajua wanawake ni wabinafsi so mwanamke hawezi sema muachane na akuachie aseti kubwa kama hiyo
.
2.lazima ujue kusoma saikolojia ya mwanamke. kwa mm binafsi naona huyo mwanamke bado anakupemda sana isipokua amechokaa kukaa mbali na ww so kukwambia muachane anakuforce ww ufanye jambo ambalo litazidi kuwasogeza karib
.
kumbuka mwanamke akitaka kukuacha akwambii kwa maneno bali anafanya vitendo so akili kumkichwa.
 
Apa Kuna side mbili ,kwakua umeongelea upande wake tuu ila matatizo yako wew jamaa hujayasema ,napenda kusema kila la kheri
 
Huyo dawa yake ni kumpandisha cheo awe mke mkubwa. Akishajua kapanda cheo atakuja mwenyewe kukaa na wewe. Hakuna namna nyingine zaidi ya hiyo. Ni lazima usome saikolojia ya mwanamke inside out indipo utaweza kuishi naye kwa amani. Hawa viumbe wanaoitwa wanawake ni pasua kichwa!
 
Amka sasa kutoka usingizini! Kubali tu kuanza maisha upya. Maana huna mke mpaka muda huu naandika hapa.

Your browser is not able to display this video.
 
Wanawake viumbe wa ajabu sana...kuna mmoja aliachana na mume wake..aliondoka kwa shari sana maana alisubiri mume kasafiri akauza kila kitu cha ndani na kusepa zake. Mume alipotaka kujua sababu kutoka kwa mama mkwe alimwagiwa matusi ya nguoni na familia nzima, huku wakijitapa kuwa mtoto wao anaenda kutengeneza maisha na mume atamtafuta. Yule mwanamke kaenda huko kazalishwa watoto watatu baba tofauti. Kwa sasa mke anamtext jamaa eti warudiane walee watoto wao ni shetani tu alimpitia..Hii dunia maajabu hayaishi wakuu
 
Inategemea huo ugomvi wenu unahusisha nn kama ni cheating sio kosa lake
 
Ukiowa elewa yakua wewe ndio super controller wa kila kitu
Unless kuwe kuna kitu muhimu zaid ya muhimu

KUNATATIZO KATIKATI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…