Azoge Ze Blind Baga
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 455
- 1,730
Kasema bora awe msimbe na mdangaji ila anataka aishi mwenyewe na hii kauli yake kila tukiwa na kimgogoroUnaishi kwenye nyumba aliyojenga ila anasema hata akihamia hapo ulipo hawezi kuishi na wewe.
Wanawake wanachukulia maisha kama kitu so simple. Kuweza kumudu kuishi mwenyewe siyo vyepesi, utaishia kuwa kahaba tu.
Ongea naye, pengine mtaelewana.
Amekazana anataka talaka, utakuta kuna mshkaji ndio anamlazimisha achukue talaka amuoeUnaishi kwenye nyumba aliyojenga ila anasema hata akihamia hapo ulipo hawezi kuishi na wewe.
Wanawake wanachukulia maisha kama kitu so simple. Kuweza kumudu kuishi mwenyewe siyo vyepesi, utaishia kuwa kahaba tu.
Ongea naye, pengine mtaelewana.
Na huu ndio uamuzi haswa wa kuzingatiaHakuna ndoa hapo. Anza kufungasha mapema. Cha kwanza hama hapo pangisha bila kumwambia akishajua atakutafuta litazuka bonge la mgogoro usiombe msamaha kaza mpaka kikao cha familia kisha uulize hatima ya ndoa yenu kama ipo ama la. Kama ipo ahamie ulipo
Na hata akipewa talaka huenda asiolewe na anayemrubuni,au hata akiolewa hawezi kuaminika huko aendako,kama karubuniwa akaomba talaka kwa mumewe aliye zaa naye basi inawezekana kabisa akaja kurubuniwa tena kwa mwingine kama ataolewa huko anapopataka,Amekazana anataka talaka, utakuta kuna mshkaji ndio anamlazimisha achukue talaka amuoe
Haiwezekani ugomvi kidogo anadai talaka
Ana lake jambo