Ugomvi kati ya JK na Lowassa ni mpango wa Mungu

Ugomvi kati ya JK na Lowassa ni mpango wa Mungu

Utabili wa nyerere unaendelea kutumia.alisema upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM,tukashuhudia ya lowassa na kikwete.

Na sasa tunaenda kushuhudia upinzani mwingine wa JK vs magufuli vs wahifidhina wa CCM.

Upinzani huu utakuwa na kishindo kikukuu ambacho hakijapata kutokea east Africa.mda utaongea,acha niweke akiba baadhi ya maneno.

Kabisa mkuu ccm walizoea kubebana, hiyo kitu kwa Magu haipo. Wacha tuone mwisho wa hii game
 
Nguvu ya Lowasa ndiyo imempitisha Magufuli na kumkata Membe na ikumbukwe Magufuli alikuwa upande wa Lowasa. Na ndo mana Magufuli ana hasira na JK. Na lazima JK afungwe kama huamini utaona

Kwani kwenye tano bora walikuwa membe peke yake hukuona watu wengine ,asha rose ..
 
Ccm ni ileile na Magufuli ni walewale....huwezi itenganisha ccm na Magufuli.
Na ccm inawenyewe ambao hata magufuli hajui.
Nitamsubiri kwenye eneo moja tu akiweza nitamwamini.Avunje mikataba yote mibovu ya madini na Gesi.
 
Tumuombee kwa Mungu apate ujasiri wa kuyafanya hayo
 
Mara zote naamini kuwa walioifikisha nchi hii kwenye uozo ni wafanyabiashara, wanamtandao wa uchaguzi na marafiki wa wagombea urais.. Nilimpa kura jpm sababu niliona alikaa mbali na haya makundi yote..sasa tunaona.
 
Hata mimi Pepsin nimemtakia heri Lowassa kwa kumshinda Kikwete.
Pamoja na Kikwete kuwa rais na mwenyekiti wa CCM,alishindwa vibaya sana na kuweka mrithi wa kumtaka.
Sasa cha moto atakiona.
Historia inaonesha madhila ambayo JK alimfanyia Dr Pombe ila inaonesha kutokukwaruzana hata KIDOGO baina ya Pombe na Lowassa.
 
Nguvu ya Lowasa ndiyo imempitisha Magufuli na kumkata Membe na ikumbukwe Magufuli alikuwa upande wa Lowasa. Na ndo mana Magufuli ana hasira na JK. Na lazima JK afungwe kama huamini utaona[/QUOTE ] Magufuli alicheza karata vizuri wakati lowasa anahangaika kuhonga waandish na viongozi wa dini Magufuli aliinvest kwa Jk tu. What a clever guy
 
Nguvu ya Lowasa ndiyo imempitisha Magufuli na kumkata Membe na ikumbukwe Magufuli alikuwa upande wa Lowasa. Na ndo mana Magufuli ana hasira na JK. Na lazima JK afungwe kama huamini utaona
Inaonyesha ulivyo mtupu kichwani, kwa taarifa yako, rais wa tanzania ana kitu kinaitwa presidential immunity. Analindwa na katiba, HASHITAKIWI hata kama mna ushahidi kuwa alifanya maiza uza. Hivyo JK ataendelea kupeta mpaka mwisho.
Kuhusu Magufuli ETI alikuwa upande wa lowassa, ni dalili zenu za kuanza kujipendekeza, jamaa hataki hata harufu yenu! Kwa kifupi, ana bifu na ufisadi, sasa jiulize mwenyewe huo upande ni upi unaouongelea! Labda kama binadamu, Magufuli yuko upande wa kila mtu.
 
Ccm ni ileile na Magufuli ni walewale....huwezi itenganisha ccm na Magufuli.
Na ccm inawenyewe ambao hata magufuli hajui.
Nitamsubiri kwenye eneo moja tu akiweza nitamwamini.Avunje mikataba yote mibovu ya madini na Gesi.
mbona hamsomeki? Mara Magufuli ni ukawa mara hiwezi tenganisha siaiemu na Magufuli mara sisiemu ina wenyewe na Magufuli hajui, nini unachotaka kusema au ndo kuchanganyikiwa kwenyewena dozi?
 
UKAWA nyie kubalini tu safari hii siasa za huruma hakuna mulitiambia Magufuli ataongozwa na remote from Msoga,ccm ni ileile,hakuna mabadiliko ndani ya ccm,tatizo ni mfumo na kutaka kutuwekea Fisadi Mamvi Ikulu sasa dawa imekolea mnaanza kutapatapa mwaka huu mmechambia nyembe.
 
Roho ya Nyerere ilikuwa inatoa machozi kaburini huu ndio mda inafutwa machozi yake
 
Dah JK asipoangalia na kutumia fursa pekee ya uenyekiti wa ccm kumdhibiti jpm nina Imani baada ya mwaka 1 heshima ya JK itashuka kuliko hata ya nape.
 
Back
Top Bottom