Ugojwa wa Wapendanao

Ugojwa wa Wapendanao

Real Shalom

New Member
Joined
Oct 15, 2012
Posts
3
Reaction score
1
Wanandoa waliodumu zaidi ya miaka 20 wamebainika kuwa na ugonjwa wa Kisukari, utafiti unaonesha waliugua kwasababu ya majina wanayojiita kama; my Honey, my Sweet, my Hot Chocolate nk. Plz mkinge mpenzi wako na Kisukari kwa kumuita my Klorokwn, my Sifongo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom