Fisadi.Jones
Senior Member
- Aug 15, 2008
- 110
- 7
Nashukuru kwa mawazo, yawezekana hobbies haziendani. Nasiwezi kujilazimishia kuiga hobbies zake! Na zaidi ya hapo naoana anapenda magenge kama chokoraa. Mtu asiyekuwa na discipline na kuithamini ndoa yake ni kama chokaraa.
Ukorofi kanifundisha yeye yaghe. CHOKORAA NI CHOKORAA TUU. kama mtu unamkanya kwa nini asisikie, si utamfanisha na chokoraa tuu. Na sio eti sipendi wageni, napenda sana ila kuwe na limit of everything. Na bora ingekuwa ni mara moja moja basi in a blue moon. In a month it happens like 3 times in weekends. Looh! Yakikaa vibaya pipa tutakweya tuu hio sio tatizo, I was not chases away. Lol!
akimleta siku nyengine ukiona dalili za kumkaribisha tena kulala .. unavaa kanga moja na mapemaaaa ... ujipitishe mara mbili tatu mbele yao .. si unajua tena mtoto wa kike .. mumeo will think otherwise .. usijisumbue kugombana nae .. actions speak louder than words
Ukorofi kanifundisha yeye yaghe. CHOKORAA NI CHOKORAA TUU. kama mtu unamkanya kwa nini asisikie, si utamfanisha na chokoraa tuu. Na sio eti sipendi wageni, napenda sana ila kuwe na limit of everything. Na bora ingekuwa ni mara moja moja basi in a blue moon. In a month it happens like 3 times in weekends. Looh! Yakikaa vibaya pipa tutakweya tuu hio sio tatizo, I was not chases away. Lol!
...Eeehh!! Unawezaje kumuita mumeo chokoraa au umeegesha tu hapo unaweka sawa mambo yako then ule kona??? Hata kama unachukizwa na ulevi wake na kukaribisha wageni sio kumuita chokoraa!!!Hajakatazwa kwenda kujumuika na mtu yoyote. Sema uchokoraa ndo unaomsumbua naona na wewe ndo hao hao. Pole.
Ni kweli kama amekaa kichokoraa tutaegesha tuu au sio....Eeehh!! Unawezaje kumuita mumeo chokoraa au umeegesha tu hapo unaweka sawa mambo yako then ule kona??? Hata kama unachukizwa na ulevi wake na kukaribisha wageni sio kumuita chokoraa!!!
If huyo rafiki angeweza kupata basi ya kusafiri, ange jiendea motel, hotel anywhere esle but hapo kwako. sounds like a booty call!!Haya jamani, mada yangu inaendelea juzi tumetoka kugombana sana kuhusiana na hao wanawake kumpigia simu. Alipiga mmoja wao ambaye Mr. anadai alisaidiawa naye sana kwenye mambo ya offisi sometimes back. Hiyo siku alipiga kumwambia eti alikuwa anataka kuja kulala kwa sababu buses zilikuwa zimeisha na yeye anaishi mbali.
"OMG, do not believe her, friendhsip is good, but ange tafuta hayo ma basi mapema , hiyo ni excuse aliyo tumia zamani and maybe alifikiri ya kwamba it can work again, Usikubali.
niwe mkali na kukataa maana Mr. alisema alishaambiwa na watu anatembea na huyo mama maana wako karibu sana, ila yeye alikana. Sasa hebu nipeni ushauri katika hilo kama sio kupigwa bao hivi unaona tena ndani kwako. Boo! acha tuonekane na roho mbaya.
Nilikuwa pale Takri.secretarybird kipind hiko upo huko kibosho unachuma kahawa ready to sell at KNCU
we jamaa bhn sio makereshoNilikuwa pale Takri.
Yeah, Makerosho I mean 😎.we jamaa bhn sio makeresho
haahshaha nimemiss uji wa mzee ShooYeah, Makerosho I mean 😎.