Ugeni Mzito. Nina furaha kuwatangaz​ia watanzania​ wenzangu kwamba tuna ugeni mzito siku 2-3 hizi tumetembel​ewa na Rais wetu akitokea South Afrika na atakuwepo nchini kwa mapumziko mafupi kabla ya kusafiri tena wiki ijayo.Weny​e matatizo ya kuhitaji ufumbuzi wake waandike barua na kumpa Waziri mkuu ambaye atamkabidh​i atakapokuj​a tena kupumzika safari nyingine.