Uganda's Proposed Anti-Gay Law | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uganda's Proposed Anti-Gay Law

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lekanjobe Kubinika, Dec 22, 2009.

 1. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2009
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  On Tue, 12/22/09, NPIN Prevention digest <prevention-news@ghs-wnlstmgr01.lmbps.com> wrote:

  UGANDA: "EU Parliament Decries Uganda's Proposed Anti-Gay Law"
  Agence France Presse (12.17.09)

  The European parliament has issued a statement calling on Uganda's government to reject the harsh "Anti-Homosexuality Bill" now under consideration, and it reminded Uganda of its obligations under international law and the Cotonou Agreement to respect human rights. The statement calls on Ugandan legislators "not to approve the bill and to review their laws so as to decriminalize homosexuality." "Criminalizing adult consensual sex is not only a human rights issue, it goes against good HIV strategy," said Catherine Hawkins, the chief scientific adviser to UNAIDS.


  Leka
   
 2. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2009
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,012
  Trophy Points: 280
  Hotuba za akili nyingi kamwe hazitakaa ziifunike kweli. Ukinyume na maumbile ni jinai na hata katika paji la nyuso za wahalifu wa ukinyume na asili panasomeka aibu(haya). Hakuna haki ya mtu mmoja au kundi dogo inayostahili kuheshimiwa ikiwa kufanya hivyo kunadhuluma haki ya walio wengi. Kuna mkakati gani wa kuzilinda haki za watoto ambao hawajaweza kupambanua mambo ikiwa serikali zetu zitaruhusu hii jinai ya sodoma kuwa sii kosa kwao? UGANDA MNA UWEZO WA KUPAMBANUA NA MNA KATIBA YENU NA NI DHAHIRI KUNA MAMBO MNAYOTAFAUTIANA NA WAZUNGU NA WAO WANAYO YANAYOTOFAUTIANA NA NINYI. YALIYO MAZURI YAIGENI BALI MAUVU KAMA HILI LA SODOMA WAACHIENI WAO. LINDENI KIZAZI KITAKACHOKUWA BAADA YENU KWA GHARAMA YEYOTE.
   
Loading...