Ila jamaa ni mbishi,kila uchaguzi lazima azushiwe jambo,sas ameamuwa kupambana na asipo angalia mseven atammaliza
:bored::disapointed:Nadhani hiki ndicho kinachotakiwa kufanywa kwa wanaoshindwa chaguzi na ku resort kwenye kuhamasisha vurugu kama Slaa.
Habari kutoka nchini Uganda zinasema kwamba kiongozi wa upinzani nchini humo Kizza Besigye amepigwa risasi ya mkono na maafisa ya wa polisi ambao walikuwa wakijaribu kuwatawanya watu walikuwa wakiandama na kiongozi huyo wa upinzani mjini Kampala leo.
SOURCE: BBC NEWS
Ndani ya Nchi yake kuna vichaa kama Godbless Lema(a.k.a kimeta wa merelani),Wenje,W.Slaa hawa wote ni watu wa mavurugu na wachochezi kupindukia lakini hawajafanywa Walemavu...........Mbona huku Tanzania ni mengi na kesho kutwa yako barabarani tena na matusi lukuki kwa Rais "kweli Nchi na Uongozi zinatofautiana". Kama hivyo UDUMU KIKWETE ili sisi CDM tuendelee kupeta.
You are sick!Nadhani hiki ndicho kinachotakiwa kufanywa kwa wanaoshindwa chaguzi na ku resort kwenye kuhamasisha vurugu kama Slaa.
Ndani ya Nchi yake kuna vichaa kama Godbless Lema(a.k.a kimeta wa merelani),Wenje,W.Slaa hawa wote ni watu wa mavurugu na wachochezi kupindukia lakini hawajafanywa Walemavu. Je!Rais huyu anadhihirisha upole wake ama ni uoga.Uganda aliyekuwa rafiki na hatimaye kugeuka mpinzani mkubwa wa Rais Mseven Dr. Kiiza Besigye inaripotiwa kapigwa risasi mkononi kisa "maandamano".Mbona huku Tanzania ni mengi na kesho kutwa yako barabarani tena na matusi lukuki kwa Rais "kweli Nchi na Uongozi zinatofautiana".Kama hivyo UDUMU KIKWETE ili sisi CDM tuendelee kupeta.