Ugandan ministers sleep during Museveni's speech

Haahahaaa yaani woteeeee wamelala........aibu! Na wanataka kubadili katiba aendelee kutawala mpaka adondoke.
Hamna jipya kwenye speech yake ndio maana.
 
Hahahahaha, usingizi huwa ni kama deni baada ya kuu-skip ujue utaurejea baadae

Sent from Samsung Galaxy S8 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hah ! Hah ! hawa wazee usiku huwa wanachelewa kulala au wanakunywa pombe mpaka saa za majogoo.
 
Back
Top Bottom