Uganda Vs Rwanda kimenuka

wanapigana mikwara tu kama wana nguvu wapigane tu sisi tutawauzia mahindi
 
Ndo maana mm namkumbuka saana nduli idd amin hakuwa na maneno mengi yaani kama anafanya mazoezi tu alafu akajinyakulia kagera ndani ya dakika 25 tu

Sasa hizi kobe mbili zinachelewesha mtanange aise

Ira slim achunge saana anaweza kuchezea kisago kutoka pande zote ispokuwa upande wa jiwe tu

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
It's an overrated war! A mere dispute hatuwezi kuiita vita but a bit kind of misunderstanding and that's what happened. Uganda na Rwanda were simply allies kumtoa Mobutu. kwa bahati mbaya M7 hakujua mwenzake PK anawaza nini kwa wakati huo. Kagame hawezi shinda vita on clean sheet ila yeye hutumia mbinu ya kuvizia/ambush na ndivyo alivyofanya dhidi ya UPDF. Kwa wakati ule,ilikuwa ngumu kwa Uganda kushinda kwa sababu hakuwa prepared kupigana na mshirika wake but in contrary Rwanda had something else in their Mind. Kwa mtazamo wangu, siyo PK or M7 anatamani vita itokee baina yao kwani utawala wao ndo utakuwa umefika mwisho. wote wana matatizo yao ya ndani ambayo ni more threatening....na ikitokea vita ....ndo ticket ya kung'oka!
 
Yes nakubaliana na wewe,ndio maana nikasema km vipi ijadiliwe kwa upana maana kuna vingi vya kuongelea

Tuko pamoja ktk mtazamo wako huu,ahsante

MTC | 101|
 
Ukweli kabisa huu.. Pamoja mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini upande wa jiwe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…