Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,136
- 107,680
Halafu unajua we can do that with our geographical advantage make Uganda pay 10% of market price. Halafu tuone nyang'au atalipa vp mikopo aliyochukua! Inaitwa scorching the earth!TPA wawape Uganda upendeleo wa kipekee ili watumie bandar zetu Uganda inatakiwa ipitishe shehena yake yote Tanzania hakuna sababu ya kupitishia Kenya
Kuwa na huruma kidogo, japo sio ndugu zetu lakini ni majirani, ukiwabana sana wanabaki na kazi moja tu ya ujambazi, watavuka mpaka na kutusumbua sisi wapenda amani na umojaHalafu unajua we can do that with our geographical advantage make Uganda pay 10% of market price. Halafu tuone nyang'au atalipa vp mikopo aliyochukua! Inaitwa scorching the earth!
The Magufulis act of reducing inspection centers from more than 8 to three, it brings positive direction, I am happy now after Dar port Uganda's cargo will stand in Mwanza then towards Port Bell Uganda is a major revolution to attract the Uganda market,Halafu unajua we can do that with our geographical advantage make Uganda pay 10% of market price. Halafu tuone nyang'au atalipa vp mikopo aliyochukua! Inaitwa scorching the earth!
Watuvumilie tu 😀😀😀😀Kuwa na huruma kidogo, japo sio ndugu zetu lakini ni majirani, ukiwabana sana wanabaki na kazi moja tu ya ujambazi, watavuka mpaka na kutusumbua sisi wapenda amani na umoja
TPA wawape Uganda upendeleo wa kipekee ili watumie bandar zetu Uganda inatakiwa ipitishe shehena yake yote Tanzania hakuna sababu ya kupitishia Kenya
Its just business people, wacheni kuingiza personal feelings ndani yake, mtaumia bure...Halafu unajua we can do that with our geographical advantage make Uganda pay 10% of market price. Halafu tuone nyang'au atalipa vp mikopo aliyochukua! Inaitwa scorching the earth!
Hahaha. Subiri utaona meaning of sleeping giant sasa hivi ameamka.Its just business people, wacheni kuingiza personal feelings ndani yake, mtaumia bure...
Yanii hata naanza kuwaonea huruma, kila siku watz hapa JF mnabaki kujenga nyumba za makaratasi , yani hamchoki, kila siku ni ..'ngoja sass mtakiona, ngojeni tukimaliza ujenzi, ngojeni tukizindua blah blah blah jameni , ni lini hii siku itafika
TPA wawape Uganda upendeleo wa kipekee ili watumie bandar zetu Uganda inatakiwa ipitishe shehena yake yote Tanzania hakuna sababu ya kupitishia Kenya
Uganda ambaye ndiye mtumiaji mkubwa wa Mombasa port anapitisha mizigo yake kwa 70%, iliyobaki inapitia Dar, hii mikakati ya kujenga reli kwa ushirikiano kati ya Uganda na Tanzania toka Port Bell hadi Kampala, lengo nikuongeza hiyo 30% up to 50%, Kumbuka Geographically Uganda is closer to Mombasa therefore Kenya has comparative advantage over Tanzania.Ningependa kama ukipata nafasi ukakague tariff ya transit cargo iliyokua inaenda Uganda kutokea bandari ya Tanzania, yaani mlikua mumepunguza hadi hasara lakini, the biggest economic giant wa EAC akawa mshindi.
jamaa hajui hayo.Uganda ambaye ndiye mtumiaji mkubwa wa Mombasa port anapitisha mizigo yake kwa 70%, iliyobaki inapitia Dar, hii mikakati ya kujenga reli kwa ushirikiano kati ya Uganda na Tanzania toka Port Bell hadi Kampala, lengo nikuongeza hiyo 30% up to 50%, Kumbuka Geographically Uganda is closer to Mombasa therefore Kenya has comparative advantage over Tanzania.
Uganda ambaye ndiye mtumiaji mkubwa wa Mombasa port anapitisha mizigo yake kwa 70%, iliyobaki inapitia Dar, hii mikakati ya kujenga reli kwa ushirikiano kati ya Uganda na Tanzania toka Port Bell hadi Kampala, lengo nikuongeza hiyo 30% up to 50%, Kumbuka Geographically Uganda is closer to Mombasa therefore Kenya has comparative advantage over Tanzania.
Sasa wewe unapiga ramli wakati Magufuli na Museveni wapo Uganda wanapanga mikakati na umemsikia Museveni akiwaambia watendaji wake wakamilishe haraka ujenzi wa reli toka Port bell to Kampala, sasa unataka kusema Uganda watajenga reli halafu waache kuitumia?, kwani hali ilikuwaje pale mlipojisifia kuhusu bomba la mafuta, matokeo yake tukalichukua kiulaini?.Hehehe!! Unaiweka ni kama kwamba tumelala, hivi nikikutajia nini tunakifaya ili kuhodhi soko lote la usafiri la ukanda huu si utashangaa.
Munedelee kufunga na kukesha kwa maombi nchi yetu isambaratike, lakini tukipata muafaka hehehe mtaisoma namba zaidi ya muisomavyo leo.
Sasa wewe unapiga ramli wakati Magufuli na Museveni wapo Uganda wanapanga mikakati na umemsikia Museveni akiwaambia watendaji wake wakamilishe haraka ujenzi wa reli toka Port bell to Kampala, sasa unataka kusema Uganda watajenga reli halafu waache kuitumia?, kwani hali ilikuwaje pale mlipojisifia kuhusu bomba la mafuta, matokeo yake tukalichukua kiulaini?.
Kama nilivyokuambia, Uganda kwa Tanzania ni kama addition tu, Rwanda, Burundi, Zambia, Malawi, na Eastern DRC hao ndiyo wateja wetu wa uhakika, Kenya mnabaki na 70% ya Uganda na 100% ya South Sudan basi, kama Uganda pipeline litakaloipatia Tanzania over $800 per year, ambayo ni zaidi ya mapato ya utalii wa Kenya, kwa hiyo battle ground ni matumizi ya bandari, lengo ni kupandisha hadi 50%, usisingizie machafuko ya kisiasa, bomba tuliwanyang'anya bila machafuko ya kisiasa, na hili tunalitimiza usianze kutoa sababu
Endelea kuota mchana, Burundi kwa sasa 95% na Rwanda ni 80% kabla Magufuli hajamalizia SGR, ikiisha itakuwa ni 100%, battle ground ni Uganda tu, kama bomba la mafuta ambalo tayari mlishakubaliana lakini tulilinyakua, huku kwengine hamuwezi kuhimili vishindo, angalia Rotich ameshasema serikali imeishiwa pesa, wakati huku Magufuli anaonyesha kiburi ya makusanyo kwa kutoa $3.1B chash toka hazina kujenga SGR, Kenya inashindwa kulipa deni la $770million inalazimika kukokapa ili kulipa deni, Kenya doesn't have muscles to compete with Tanzania's economy otherwise economy is going to collapse, Tanzania uchumi wake una mizizi mirefu ya Natural resources, Kenya hamna natural resources, msilazimishe mtaumia.Uwepo wa Magufuli Uganda na matamko yote ya wanasiasa sio issue, cha msingi ni mikakati yetu kibiashara, nimekuambia miundo mbinu ambayo tunafanikisha inaendelea kuchimba na kuhakikisha tunakua kwenye soko la usafiri ukanda wote huu.
Hao Rwanda, Burundi, Congo huwa tunawapata tu kama bakshishi maana wapo mbali nasi, ni kwa sababu ya uwezo wetu kimiundo mbinu ndio tunawapata, na kadiri tunavyozidi kuongeza ndivyo tunawapata zaidi, hata Tanzania Kaskazini na kanda ziwa huwa tunawapata, na tunataka tuwameze kabisa.