Uganda to abolish work Permits for Kenya Rwanda nationals

Uganda to abolish work Permits for Kenya Rwanda nationals

Mlachake

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2009
Posts
4,451
Reaction score
4,655
Kigali. Uganda will abolish work permit fees for Kenyans and Rwandan citizens from January 1, 2014, one of several reforms East African leaders launched yesterday to reduce the cost of doing business and speed up the movement of goods and people.

Presidents Paul Kagame of Rwanda, Yoweri Museveni of Uganda and Uhuru Kenyatta of Kenya met in Kigali yesterday to sign off on a Single Customs Territory (SCT) for the three countries. President Salva Kiir of South Sudan also attended the event, which followed earlier infrastructure summits in Kampala in June and Mombasa in August.

Presidents Jakaya Kikwete of Tanzania and Pierre Nkurunziza of Burundi did not attend the meeting.

Under the SCT, tax on goods imported into the three countries will be paid at Mombasa and trucks weighed only on crossing the border. In theory, all the roadblocks from Mombasa to Kigali will be eliminated and the weighbridges reduced from nine to three at most.

The summit heard that a reduction in the number of roadblocks and weighbridges had reduced the time and cost of transporting goods from Mombasa to the interior.

The cost of transporting a 20-foot container from Mombasa to Kigali is also expected to drop from $383 to $193, resulting into savings of about $45 million annually.

“There is still a long way to go,” host President Kagame said, “but we are encouraged by the progress made so far.”

President Kenyatta, who has pushed for reforms at Mombasa Port and along the highway to Malaba, said Kenya is committed to the effort.

“Today is a very happy day for me,” he said on his first visit to Rwanda as President. “I am very excited about the progress made in such a short time.”

The summit heard that ground-breaking for construction of the standard-gauge railway from Mombasa to Kigali will
take place next month although details about final cost and source of funds are still to be hammered out.

Source: the citizen on wednesday
 
Hawa wakuu wetu saa zingine sijui wanashauriwa na familia zao kutoa maamuzi.
 
Hata wafanye Rais mmoja hawafiki mbali kwani hata hivyo nchi zao hazina demcrasia ya ukweli kwa maana hiyo hawapo tayari kumpisha mtu kuwa rais wao ni maraisi wa kudumu ila kenye imeingia cha kike kwakudhani inajipanua kiuchumi!!
 
Hawa wakuu wetu saa zingine sijui wanashauriwa na familia zao kutoa maamuzi.

Maamuzi ya Kisiasa, ni maamuzi ya kibinafsi bila kufanya assessment yoyote ya maana, Museveni keshahadiwa kuwa atakuwa raisi wa kwanza wa East Africa sasa ana mihemuko ya kisiasa tu, chochote tu kinamtoka ilimradi apalilie cheo tarajiwa
 
Mkuu Mlachake,
Rekebisha kichwa cha Habari kisomeke [h=2]"Uganda to abolish work Permits fees for Kenya Rwanda nationals" badala ya "Uganda to abolish work Permits for Kenya Rwanda nationals".[/h]
 
Hata wafanye Rais mmoja hawafiki mbali kwani hata hivyo nchi zao hazina demcrasia ya ukweli kwa maana hiyo hawapo tayari kumpisha mtu kuwa rais wao ni maraisi wa kudumu ila kenye imeingia cha kike kwakudhani inajipanua kiuchumi!!

awa viongoz wetu tunaowachagua kwa demokrasia wamesaidia nini wananchi wao? uwizi,ufisadi tu
 
Hawana vision business magin bado ni ndogo ukilinganishsha na population mfano kenyaina watu 31m. Uganda25m na rwanda 7m wakati ukanda walio ususia una populatio kubwa zaidi na ni bora tz kujikita huko tz35m. Congo 56m.burundi 6m. Malawi 22m .zambia 20m nani zaidi?
 
awa viongoz wetu tunaowachagua kwa demokrasia wamesaidia nini wananchi wao? uwizi,ufisadi tu
Huo ni udhaifu wa mtu binafsi lakini demklasia imechukua mkondo wake sasa wewe Rais wako mpaka atafia madaraka nakumbuka wakati wa gorilla war alisema anasaka amani sasa kaingia madaraka hataki demkrasia Pufffffff poor inyenze+hima!
 
Hawana vision business magin bado ni ndogo ukilinganishsha na population mfano kenyaina watu 31m. Uganda25m na rwanda 7m wakati ukanda walio ususia una populatio kubwa zaidi na ni bora tz kujikita huko tz35m. Congo 56m.burundi 6m. Malawi 22m .zambia 20m nani zaidi?
Tanzania hatuko 35million mkuu!...ni zaidi ya 40
 
Hawana vision business magin bado ni ndogo ukilinganishsha na population mfano kenyaina watu 31m. Uganda25m na rwanda 7m wakati ukanda walio ususia una populatio kubwa zaidi na ni bora tz kujikita huko tz35m. Congo 56m.burundi 6m. Malawi 22m .zambia 20m nani zaidi?

unaweza ukawa na idadi kubwa ya watu lakin wenye ziki na masikini sana wasio na uwezo wa kununua. waliopigika kiuchumi.

hivo sababu ulizotoa kajipange urud tena nakusubiri
 
Huo ni udhaifu wa mtu binafsi lakini demklasia imechukua mkondo wake sasa wewe Rais wako mpaka atafia madaraka nakumbuka wakati wa gorilla war alisema anasaka amani sasa kaingia madaraka hataki demkrasia Pufffffff poor inyenze+hima!

rais wa nani? mi rais wangu ni Obama tu
 
Hapa unajua kenya anataka watu wakuwanyonya na ukiachilia mbali hawa wote wa tageti ya kuzidiana kete sasa ,mda si mrefu watashindana kwenye muungano wowote lazima mmoja akubali kuliwa ,,zaidi wote mkiwa wajanja muungano hautodumu kamwe,ukiwaangalia hawa wote wa3 kweli si waroho hawa.kuna umoja wa kudumishwa na hawa watu wote kwani hawa wote wana political instability kwenye nchi zao.wataanza kutatua matatizo ya ndani ya kila nchi bila mafanikio.na Tz kwenye suala hilo angechangia sana hata kuwashawishi kumaliza matatizo ukienda zaidi kihistoria,wao wanajiona wako juu lkn watakuja kila mtu kwa muda wake tz tupo na tutakuwa juu miaka yote.
 
"Safari ya maili moja huanza kwa hatua moja" Heri kufikiri kupiga hatua mbele kuliko kufikiri kuto fahamu uliko simamia. Watanzania bado hatujajielewa, tupo usingizini, shuka twavuta ilhali twatakiwa kuamuka kwani asubuhi tayari. Sioni sababu ya kuwa na hasira za wivu kwa mipango ya maendeleo ya majirani zetu. Kama hatupo tayari tusiwakatishe tamaa wenzetu walio tayari.
 
Money stuna huo ukanda wa uganda kenya rwanda una nini ? Watu ni maskini wakutupwa mfano kenya uchumi umeshikwa na watu wachache 10% hiyo 90 % ndo hao mmejazana tz njaa inawaua .ardhi yote kaishika uhuru sisi hatutaki ushirikiano na nyie kwann mlazimishe tumewashitukia
 
Back
Top Bottom