Mtetezi wangu yuhai
Member
- Sep 4, 2012
- 26
- 5
Kwa kilichotokea UGANDA kiwe Mfano mzuri kwa Tume za uchaguzi Africa Mara Baada ya kumtangaza mbunge wa Chama cha upinzani Mbali na kuwa korokoroni ile Hali taabani Baada ya kipigo kikali cha maafisa wa police. Uchaguzi huu ulighubikwa na fujo na kila Namna ya hujuma Ila Tume imesimamia matakwa ya wananchi