UGANDA: Museveni azikemea nchi wahisani

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,253
12994489_1487459987935081_7694872285023927133_n.png

Rais Yoweri Museveni wa Uganda, amezikemea nchi wafadhili zenye tabia ya kuilaumu serikali yake na kutaka kuwapangia mambo. “Huwa sipendi wageni wakanipa amri juu ya Uganda, kwani hii ni nchi yetu,”

My take.
Huyu jamaa analalamika kwamba nchi wahisani wanampa amri,
Kwani hajui suluhisho? Suluhisho ni kutengeneza uchumi imara unaotegemea vyanzo vya ndani vya mapato.
Ndo maana kuna msemo kwamba 'ukiolewa sharti ukubali kulala bila nguo'
 
Back
Top Bottom