Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,502
- 9,283
Stupid you!Tatizo hawa mamluki wamekuwa wanaharakati mpaka wamesahau uzalendo wa nchi yao. Bobi Wine is just like a pen in the hands of EU & Washington
Bob wine pole kwa wakati huu mgumuStupid you!
It's far better to be called stupid because I exercise my unparalleled natural intelligence, than to be extolled as a smart hero -- all the while fully brainwashed.Stupid you!
In a way, you're also brainwashed, under the guise of exercising your so called natural intelligence.It's far better to be called stupid because I exercise my unparalleled natural intelligence, than to be extolled as a smart hero -- all the while fully brainwashed.
Huu upumbavu wa kushabikia mauaji huwa mnapewa nini?Tatizo hawa mamluki wamekuwa wanaharakati mpaka wamesahau uzalendo wa nchi yao. Bobi Wine is just like a pen in the hands of EU & Washington
Sifurahii mauaji na wala pia siungi mkono umamluki wa Bobi Pombe. Huyo jamaa anapaswa awe ndani kitambo tu, anairudisha nyuma UgandaHuu upumbavu wa kushabikia mauaji huwa mnapewa nini?
Hujaelewa kitu. Bobi Pombe kazi aliyopewa na Bobi A ni kuhakikisha wanafanya machafuko ya kutosha ili ku-undermine credibility na mafanikio ya M7. Sasa wanavuna jeuri yao!!! M7 amewapatia nafasi ya kufanya kampeni, wao wanatumia kuisambaratisha nchi. Haiwezekani! Haiwezekani!! Haiwezekani!!! Huyo rapper akamatwe mara moja apelekwe studio akaimbe muziki hukoo Uingereza.Kwa viongozi wanaonyanyasa wananchi wake ni Mseveni ,Mungu angemchukua tu kwakweli ili aache kuendelea Kumwaga damu
Unahabari pia kuwa wakili Wa Bob wine in yule yule aliyekuwa akimtetea mgombea wa chandimu Lissu,sijui anaitwa Robert Amsterdam,? Hawa vijana wetu Wa sasa bure kabisa ,wamekubali kutumika na mabeberu ili kuvuruga amani ya nchi zao,Tatizo hawa mamluki wamekuwa wanaharakati mpaka wamesahau uzalendo wa nchi yao. Bobi Wine is just like a pen in the hands of EU & Washington
Pathetic, intolerable shame to these poor guys!Unahabari pia kuwa wakili Wa Bob wine in yule yule aliyekuwa akimtetea mgombea wa chandimu Lissu,sijui anaitwa Robert Amsterdam,? Hawa vijana wetu Wa sasa bure kabisa ,wamekubali kutumika na mabeberu ili kuvuruga amani ya nchi zao,
You better revisit the definitions before you ever speak anything. I am seriously sorry and sorrowful for you.In a way, you're also brainwashed, under the guise of exercising your so called natural intelligence.
Nausikitikia uzao wako, hakika watalaani sana wewe kuwa baba yao wakiyasoma haya matapishi unayoyaandika humuTatizo hawa mamluki wamekuwa wanaharakati mpaka wamesahau uzalendo wa nchi yao. Bobi Wine is just like a pen in the hands of EU & Washington
Nashukuru kwamba hawatakuwa puppets kama hawa madalali wanaokubali kugawa na kusalimisha utu wao na nchi yao kwa Wazungu. Hii ni aibu isiyovumilika inayopaswa kuwekwa ukurasa wa mbele wa Guinness WorldNausikitikia uzao wako, hakika watalaani sana wewe kuwa baba yao wakiyasoma haya matapishi unayoyaandika humu
Hapa ndipo unapaswa kutoa ufafanuzi ili nieleweanairudisha nyuma Ugandakimaendeleo. Hana vision