Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 845
Jeshi la Uganda kuondoka Somalia 2017
Mkuu wa jeshi la Uganda Jenerali Katumba Wamala amesema kwamba Uganda imeamua kuondoa jeshi lake Somalia baada kuhujumiwa na jeshi la Somalia.
Hatua hii itakuwa pigo kwa harakati za kukabiliana na Al Shabab nchini humo kwani Uganda ina idadi kubwa zaidi ya wanajeshi katika Umoja wa Afrika nchini Somalia.
Jenerali Katumba anasema Mwezi Disemba 2017 wanajeshi wake watatoka Somalia.